Papa Yohane Paulo II

 • mtakatifu yohane paulo ii.

  papa yohane paulo ii (kwa kilatini: ioannes paulus pp. ii; kwa kiitalia: giovanni paolo ii; kwa kipolandi: jan paweł ii; kwa kiingereza: john paul ii; 18 mei 1920 - 2 aprili 2005) alikuwa papa wa 264 kuanzia 16 oktoba 1978 hadi kifo chake akidumu katika huduma hiyo kirefu kuliko mapapa wengine wote, isipokuwa mtume petro na papa pius ix.

  alimfuata papa yohane paulo i akiwa papa wa kwanza asiye mwitalia tangu miaka 455 iliyopita, wakati wa mholanzi papa adrian vi (1522 - 1523), tena papa wa kwanza kutoka polandi (na makabila yoyote ya waslavi) katika historia ya kanisa. alifuatwa na papa benedikto xvi.

  jina lake la kuzaliwa lilikuwa karol józef wojtyła (matamshi: ˈkarɔl ˈjuzɛf vɔiˈtɨwa).

  wengi wanamhesabu kati ya watu walioathiri zaidi karne ya 20, hasa kwa sababu tangu mwanzo wa upapa wake alipambana na ukomunisti uliotesa nchi yake asili na nyinginezo, akachangia kwa kiasi kikubwa kikomo chake na kusambaratika kwa urusi.[1][2][3][4][5][6]

  vilevile alilaumu ubepari wa nchi za magharibi[7][8] na kudai haki katika jamii zote, akitetea hasa uhai wa binadamu na uhuru wa dini.

  upande wa dini, aliboresha uhusiano kati ya kanisa katoliki na madhehebu mengine ya ukristo[9] pamoja na ule na dini mbalimbali, kuanzia uyahudi, ubudha, uislamu[10].

  ziara zake 104 kati nchi 129 ulimwenguni kote, mbali na 146 nchini italia na 317 katika parokia za roma, zilikusanya mara nyingi umati mkubwa (hadi zaidi ya milioni 4 huko manila, ufilipino, mwishoni mwa siku ya kimataifa ya vijana), na kumfanya asafiri kuliko jumla ya mapapa wote waliomtangulia, akiwa mmojawapo kati ya viongozi wa dunia waliosafiri zaidi.

  papa wojtyła alitangaza wenye heri 1,340 na watakatifu 483, ili kuwapa wakristo wa leo vielelezo mbalimbali kwa maisha yao ili walenge utakatifu walioitiwa na mungu.[11][12] idadi hiyo ni kubwa kuliko ile ya waliotangazwa na jumla ya mapapa wote waliomtangulia walau katika karne tano za mwisho.[13][14][15][16][17]

  alikuwa anaongea lugha mbalimbali, zikiwemo za kipolandi, kiitalia, kifaransa, kijerumani, kiingereza, kihispania, kireno, kiukraina, kirusi, kiserbokroatia, kiesperanto, kilatini na kigiriki cha kale.[18]

  yohane paulo ii alitangazwa na mwandamizi wake papa benedikto xvi kuwa mwenye heri tarehe 1 mei 2011,[19][20][21][22][23] halafu papa fransisko akamtangaza mtakatifu tarehe 27 aprili 2014.

  sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka tarehe 22 oktoba, kulingana na siku ya kuanza rasmi huduma yake ya kipapa kwa misa iliyofanyika katika uwanja mbele ya basilika la mt. petro, vatikani.

 • maisha
 • sala yake
 • tazama pia
 • tanbihi
 • marejeo
 • viungo vya nje

Mtakatifu Yohane Paulo II.

Papa Yohane Paulo II (kwa Kilatini: Ioannes Paulus PP. II; kwa Kiitalia: Giovanni Paolo II; kwa Kipolandi: Jan Paweł II; kwa Kiingereza: John Paul II; 18 Mei 1920 - 2 Aprili 2005) alikuwa papa wa 264 kuanzia 16 Oktoba 1978 hadi kifo chake akidumu katika huduma hiyo kirefu kuliko mapapa wengine wote, isipokuwa Mtume Petro na Papa Pius IX.

Alimfuata Papa Yohane Paulo I akiwa Papa wa kwanza asiye Mwitalia tangu miaka 455 iliyopita, wakati wa Mholanzi Papa Adrian VI (1522 - 1523), tena papa wa kwanza kutoka Polandi (na makabila yoyote ya Waslavi) katika historia ya Kanisa. Alifuatwa na Papa Benedikto XVI.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Karol Józef Wojtyła (matamshi: ˈkarɔl ˈjuzɛf vɔiˈtɨwa).

Wengi wanamhesabu kati ya watu walioathiri zaidi karne ya 20, hasa kwa sababu tangu mwanzo wa upapa wake alipambana na Ukomunisti uliotesa nchi yake asili na nyinginezo, akachangia kwa kiasi kikubwa kikomo chake na kusambaratika kwa Urusi.[1][2][3][4][5][6]

Vilevile alilaumu ubepari wa nchi za magharibi[7][8] na kudai haki katika jamii zote, akitetea hasa uhai wa binadamu na uhuru wa dini.

Upande wa dini, aliboresha uhusiano kati ya Kanisa Katoliki na madhehebu mengine ya Ukristo[9] pamoja na ule na dini mbalimbali, kuanzia Uyahudi, Ubudha, Uislamu[10].

Ziara zake 104 kati nchi 129 ulimwenguni kote, mbali na 146 nchini Italia na 317 katika parokia za Roma, zilikusanya mara nyingi umati mkubwa (hadi zaidi ya milioni 4 huko Manila, Ufilipino, mwishoni mwa siku ya kimataifa ya vijana), na kumfanya asafiri kuliko jumla ya mapapa wote waliomtangulia, akiwa mmojawapo kati ya viongozi wa dunia waliosafiri zaidi.

Papa Wojtyła alitangaza wenye heri 1,340 na watakatifu 483, ili kuwapa Wakristo wa leo vielelezo mbalimbali kwa maisha yao ili walenge utakatifu walioitiwa na Mungu.[11][12] Idadi hiyo ni kubwa kuliko ile ya waliotangazwa na jumla ya Mapapa wote waliomtangulia walau katika karne tano za mwisho.[13][14][15][16][17]

Alikuwa anaongea lugha mbalimbali, zikiwemo za Kipolandi, Kiitalia, Kifaransa, Kijerumani, Kiingereza, Kihispania, Kireno, Kiukraina, Kirusi, Kiserbokroatia, Kiesperanto, Kilatini na Kigiriki cha kale.[18]

Yohane Paulo II alitangazwa na mwandamizi wake Papa Benedikto XVI kuwa mwenye heri tarehe 1 Mei 2011,[19][20][21][22][23] halafu Papa Fransisko akamtangaza mtakatifu tarehe 27 Aprili 2014.

Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka tarehe 22 Oktoba, kulingana na siku ya kuanza rasmi huduma yake ya Kipapa kwa Misa iliyofanyika katika uwanja mbele ya Basilika la Mt. Petro, Vatikani.

Other Languages
Alemannisch: Johannes Paul II.
aragonés: Chuan-Pavlo II
Aymar aru: Juan Pawlu II
azərbaycanca: II İohann Pavel
žemaitėška: Juons Paulios II
Bikol Central: Papa Juan Pablo II
беларуская (тарашкевіца)‎: Ян Павал II
български: Йоан Павел II
brezhoneg: Yann-Baol II
bosanski: Ivan Pavao II
català: Joan Pau II
Mìng-dĕ̤ng-ngṳ̄: Gáu-huòng Ioannes Paulus 2-sié
Cebuano: Juan Pablo II
čeština: Jan Pavel II.
kaszëbsczi: Jan Paweł II
dolnoserbski: Jan Pawoł II.
español: Juan Pablo II
فارسی: ژان پل دوم
français: Jean-Paul II
Avañe'ẽ: Huã Páulo II
गोंयची कोंकणी / Gõychi Konknni: Pope John Paul II
客家語/Hak-kâ-ngî: Kau-fòng Ioannes Paulus 2-sṳ
hrvatski: Ivan Pavao II.
hornjoserbsce: Jan Pawoł II.
Bahasa Indonesia: Paus Yohanes Paulus II
Interlingue: Ioannes Paulus II
ქართული: იოანე პავლე II
Kabɩyɛ: Jean-Paul 2
Ripoarisch: Johannes Paul II.
Lëtzebuergesch: Jean-Paul II. (Poopst)
lumbaart: Giovann Paol II
lietuvių: Jonas Paulius II
Malagasy: Joany Paoly II
македонски: Јован Павле II
Bahasa Melayu: Paus Ioannes Paulus II
مازِرونی: پاپ ژان پل دوم
Plattdüütsch: Johannes Paul II.
norsk nynorsk: Pave Johannes Paul II
Nouormand: Jean-Paoul II
occitan: Joan Pau II
Kapampangan: Papa Juan Pablo II
Piemontèis: Gioann Pàul II
پنجابی: جان پال دوم
Runa Simi: Huwan Pawlu II
armãneashti: Papa Ioannis Pavlu II
русский: Иоанн Павел II
саха тыла: Иоанн Павел II
srpskohrvatski / српскохрватски: Ivan Pavao II.
Simple English: Pope John Paul II
slovenčina: Ján Pavol II.
slovenščina: Papež Janez Pavel II.
српски / srpski: Папа Јован Павле II
ślůnski: Jůn Paul II
татарча/tatarça: Иоанн Павел II
українська: Іван Павло II
oʻzbekcha/ўзбекча: John Paul II