Kasumba
English: Stereotype

Huko Marekani kulikuwa na kasumba ya watu weupe kuamini watu weusi wanapenda sana matikiti maji. Na hii picha ilikuwa katika moja ya kadi zao za posta mnamo 1911.

Kasumba ni wazo au fikra/imani ya watu wengie kuhusu kitu au kundi la watu fulani ya kwamba wanatabia fulani hasa kwa kumwonekano wao wa nje, ambapo kiasi fulani inaweza kuwa kweli au sio kweli.[1] Watu wenye kasumba ni aina fulani ya wale wanaopenda kuhukumu au kuchukia wenzao kwa sehemu fulani ya utu wao. Kasumba inaweza kutumiwa kwa sababu za kibaguzi dhidi ya mtu mwingine, au wakati mwingine hata uchale wa katika vipindi mbalimbali vya televisheni. Huko Tanzania kuna kasumba ya watu wengi kuamini Wazaramo wanapenda ngoma kuliko kitu chochote, ilhali kila kabila nchini humo lina ngoma zao za asili, ila tu, ikiwa zamu ya Mzaramo maneno tena mji mzima utajua. Kuna kasumba ya kuamini simu za Kichana mbovu, kasumba ya kuamini Wachagga wezi, Wahaya kujidai na kadhalika.

  • marejeo

Marejeo

  1. Word Central Student Dictionary: Definition of Stereotype. Mirriam-Webster. Iliwekwa mnamo 01/14/2013.
Other Languages
Afrikaans: Stereotipe
العربية: صورة نمطية
asturianu: Estereotipu
azərbaycanca: Steriotip
беларуская: Стэрэатып
català: Estereotip
čeština: Stereotyp
Cymraeg: Stereoteip
Deutsch: Stereotyp
English: Stereotype
Esperanto: Stereotipo
español: Estereotipo
euskara: Estereotipo
français: Stéréotype
galego: Estereotipo
עברית: סטריאוטיפ
हिन्दी: रूढ़धारणा
hrvatski: Stereotip
Bahasa Indonesia: Stereotipe
íslenska: Staðalímynd
italiano: Stereotipo
ქართული: სტერეოტიპი
қазақша: Стереотип
한국어: 고정관념
Кыргызча: Стереотип
Latina: Stereotypia
lietuvių: Stereotipas
latviešu: Stereotips
македонски: Стереотип
Bahasa Melayu: Stereotaip
Nederlands: Stereotype
norsk: Stereotypi
occitan: Estereotipe
polski: Stereotyp
پښتو: نگوس
português: Estereótipo
română: Stereotip
русский: Стереотип
Scots: Stereoteep
srpskohrvatski / српскохрватски: Stereotip
Simple English: Stereotype
slovenčina: Stereotyp
slovenščina: Stereotip
shqip: Stereotip
српски / srpski: Стереотип
svenska: Stereotyp
Türkçe: Stereotip
中文: 刻板印象
Bân-lâm-gú: Khek-pán ìn-siōng