Kalenda ya Kiislamu

Sehemu ya mfululizo wa makala juu ya

Uislamu

Historia ya Uislamu

Imani na ibada zake

Umoja wa Mungu
Nguzo za Kiislamu
ShahadaSwalaSaumu
HijaZaka

Watu muhimu

Muhammad

Abu Bakr • Ali
Ukoo wa Muhammad
Maswahaba wa Muhammad
Mitume na Manabii katika Uislamu

Maandiko na Sheria

Qur'an • Sunnah • Hadithi
Sheria • Kalam
Wasifu wa Muhammad
Sharia

Aina za Uislamu

SunniShi'a • Kharijite

Tamaduni za Kiislamu

Shule • Historia
Tauhidi • Falsafa • Sayansi
Sanaa • Ujenzi • Miji
Kalenda • Sikukuu
Wanawake
Viongozi • Siasa
Umma • Itikadi mpya • Sufii

Tazama pia

Kamusi • Kuogopa Uislamu

Kalenda ya Kiislamu ni mtindo wa kuratibu wakati unaopatikana katika nchi mbalimbali za Kiislamu.

Pia Waislamu wanaoishi katika mazingira yasiyo ya Kiislamu hutumia kalenda hii kwa ajili ya kupanga maisha yao ya kidini, hasa sikukuu na saumu.

Mahali pengi Kalenda ya Kiislamu hutumika pamoja na kalenda zinazofuata mwendo wa jua, hasa kalenda ya Gregori ambayo ndiyo iliyoenea zaidi duniani.

Miezi na mwaka

Kalenda ya Kiislamu imepokea kawaida ya mwaka wa Waarabu wa kale: mwaka una miezi 12.

"Mwezi" humaanisha kipindi kamili kati ya kuonekana kwa mwezi wa hilali mara ya kwanza hadi kurudia kwa kuonekana kwake. Kwa sababu muda wa kipindi hiki ni siku 29.5 mwezi huhesabiwa kuwa na siku 29 au 30. Kipindi kinachoitwa "mwezi" katika kalenda ya Kikristo hakina uhusiano tena na mwezi halisi.

Waislamu wanaofuata mfano wa Kisaudi hukubali mwezi mpya umeanza kama umeonekana kwa macho. Kwa sababu desturi hii imeleta matatizo ya kutokubaliana, pia ni rahisi kukadiria mwendo wa mwezi, nchi mbalimbali za Kiislamu hutumia makadirio ya kitaalamu kupanga tarehe za miezi.

Idadi ya siku katika mwaka wa Kiislamu ni 354.

Other Languages
العربية: تقويم هجري
azərbaycanca: Hicri təqvim
беларуская (тарашкевіца)‎: Мусульманскі каляндар
Esperanto: Islama kalendaro
हिन्दी: हिजरी
interlingua: Calendario islamic
Bahasa Indonesia: Kalender Hijriyah
日本語: ヒジュラ暦
한국어: 이슬람력
कॉशुर / کٲشُر: اِسلامی تَقويٖم
македонски: Исламски календар
Bahasa Melayu: Takwim Hijrah
norsk nynorsk: Muslimsk tidsrekning
srpskohrvatski / српскохрватски: Islamski kalendar
Simple English: Islamic calendar
slovenčina: Islamský kalendár
slovenščina: Islamski koledar
српски / srpski: Исламски календар
Basa Sunda: Kalénder Islam
Türkçe: Hicrî takvim
татарча/tatarça: Һиҗри тәкъвим
ئۇيغۇرچە / Uyghurche: ھىجرىيە تەقۋىمى
oʻzbekcha/ўзбекча: Islomiy taqvim
Tiếng Việt: Lịch Hồi giáo
吴语: 伊斯兰历
中文: 伊斯兰历
Bân-lâm-gú: Islam Le̍k-hoat
粵語: 回曆